klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Kudadekii hapo kwenye bluu ankal sijui ulikuwa unafanya niniaaah! mods naomba mic niwakilishe.
oh! baby!
nimekaa na kutulia, mengi nimefikiria
Mawazo yamenijia, tangu tulipoanzia
shairi nakutungia , nielewe my dia
mwenzio ninaumia, please say wewe pia
Kila nikikuangalia, kweli umekamilika
nguvu zinaniishia, nikuite malaika?
moyoni ninaumia, mwenzio nasononeka
Penzi lako nalilia, usije wakakuteka
Natamani kuwa nawe, sekunde kila dakika
Liwalo acha na liwe, moyoni nimekuweka
Mola acha asifiwe, alokuumba ukaumbika
Daima mimi na wewe, wazi wazi natamka
Napenda sauti yako, ukitaja jina langu
Hufichi hisia zako, ukiwa pembeni yangu
Kukusaliti ni mwiko, umetosha kiu yangu
Milele mimi ni wako, kwavile wewe ni wangu.
Nasifu zako tabia, Wazazi nawapa sifa
Mtoto umetulia, akili na maarifa
"Honey! nimekupikia", unanipa taarifa
Darling nimekuzimia, nakupa zote nyadhifa.
Usiku ukiingia, mapema wajitayarisha
Visa wanisimulia, vyengine vya kuchekesha
Uchokozi waishia, na kuanzisha tamasha
Nami nalimalizia, na koja nimekuvisha.
Macho ukiniangalia , taabani sijiwezi
mwendo u kitembea, laniuwa lako pozi
Nyumbani nakungojea, fanya hima laazizi
Zawadi mekuletea , za kukupa usingizi.
Nina mengi ya kusema, lakini muda hautoshi
Nakuombea uzima, Uzidi wako ucheshi
Unithamini daima, kwa harusi na mazishi
Ewe changu chema, Unukiae marashi.
Ni malenga wenu klorokwini a.k.a ileile "bukta la jeshi"
Aah Kamanda hupati mtu hapa hahaha!aaah! mods naomba mic niwakilishe.
oh! baby!
nimekaa na kutulia, mengi nimefikiria
Mawazo yamenijia, tangu tulipoanzia
shairi nakutungia , nielewe my dia
mwenzio ninaumia, please say wewe pia
Kila nikikuangalia, kweli umekamilika
nguvu zinaniishia, nikuite malaika?
moyoni ninaumia, mwenzio nasononeka
Penzi lako nalilia, usije wakakuteka
Natamani kuwa nawe, sekunde kila dakika
Liwalo acha na liwe, moyoni nimekuweka
Mola acha asifiwe, alokuumba ukaumbika
Daima mimi na wewe, wazi wazi natamka
Napenda sauti yako, ukitaja jina langu
Hufichi hisia zako, ukiwa pembeni yangu
Kukusaliti ni mwiko, umetosha kiu yangu
Milele mimi ni wako, kwavile wewe ni wangu.
Nasifu zako tabia, Wazazi nawapa sifa
Mtoto umetulia, akili na maarifa
"Honey! nimekupikia", unanipa taarifa
Darling nimekuzimia, nakupa zote nyadhifa.
Usiku ukiingia, mapema wajitayarisha
Visa wanisimulia, vyengine vya kuchekesha
Uchokozi waishia, na kuanzisha tamasha
Nami nalimalizia, na koja nimekuvisha.
Macho ukiniangalia , taabani sijiwezi
mwendo u kitembea, laniuwa lako pozi
Nyumbani nakungojea, fanya hima laazizi
Zawadi mekuletea , za kukupa usingizi.
Nina mengi ya kusema, lakini muda hautoshi
Nakuombea uzima, Uzidi wako ucheshi
Unithamini daima, kwa harusi na mazishi
Ewe changu chema, Unukiae marashi.
Ni malenga wenu klorokwini a.k.a ileile "bukta la jeshi"
Dearest huyu ni mtu wa nne kumpokea kwenye ile club yetu sasa ratiba itakuwaje ?¿¿¿¿¿¿.........???????
Kumbe Kloro una kipaji hivi??
Nimekusikia mpenzi tabasamu langu pokea
Shukurani nakupatia mazuri yangu kuyatambua
Kwa zako nzuri tabia moyo wangu nakupatia
Leo hata na kesho mimi ni wako tambua!
Utashi wako adimu mwenyewe wajijua
Kila nikiwa nawe maisha nafurahia
Wenye wivu wachukia mioyo yao yaumia
Leo hata na kesho mimi ni wako tambua!
Wambea wanaongea furaha kutuondolea..
Kila wakijaribu uvivu twawatolea...
Kamwe hatushawishiki mabaya kuyasikia
Leo hata na kesho mimi ni wako tambua!
Umetoka mahabusu lini??Aah Kamanda hupati mtu hapa hahaha!
Hahahahhaha dearest hapa najibu mapigo tu bwana....Kloro is not mine to keep!!!Mliopo mnanitosha!!Dearest huyu ni mtu wa nne kumpokea kwenye ile club yetu sasa ratiba itakuwaje ?
Afadhali ingekuwa vizuri hata hao wengine wawili wakachukuliwa na mafuriko ya mvua hizi za sasa lol!Hahahahhaha dearest hapa najibu mapigo tu bwana....Kloro is not mine to keep!!!Mliopo mnanitosha!!
Jamani dearest kumbe hupendi nifurahi ehhhh???!Afadhali ingekuwa vizuri hata hao wengine wawili wakachukuliwa na mafuriko ya mvua hizi za sasa lol!
Jamani Liz furaha yako kutupanga mafungu ? utachakaa mapema na watakimbia wote ila mimi niliosema hata at 50 bado nitakupenda.Jamani dearest kumbe hupendi nifurahi ehhhh???!
Hahaha ngoja atoke huko uswahilini utamsikiaKloloquine mbona husemi tenzi umeidedicate kwa nani?
¿¿¿¿¿¿.........???????
Kumbe Kloro una kipaji hivi??
Nimekusikia mpenzi tabasamu langu pokea
Shukurani nakupatia mazuri yangu kuyatambua
Kwa zako nzuri tabia moyo wangu nakupatia
Leo hata na kesho mimi ni wako tambua!
Utashi wako adimu mwenyewe wajijua
Kila nikiwa nawe maisha nafurahia
Wenye wivu wachukia mioyo yao yaumia
Leo hata na kesho mimi ni wako tambua!
Wambea wanaongea furaha kutuondolea..
Kila wakijaribu uvivu twawatolea...
Kamwe hatushawishiki mabaya kuyasikia
Leo hata na kesho mimi ni wako tambua!
Natamani kuwa nawe, sekunde kila dakika
Liwalo acha na liwe, moyoni nimekuweka
Mola acha asifiwe, alokuumba ukaumbika
Daima mimi na wewe, wazi wazi natamka
shukrani dawa ya Malaria:biggrin1::biggrin1:
Kudadekii hapo kwenye bluu ankal sijui ulikuwa unafanya nini
Hahaha ngoja atoke huko uswahilini utamsikia
heheeh ankal niko honeymoon bana, sasa wewe unazani hili shairi ni bure bure. Tena mkiona nimepotea ghafla msishangae, tunarenew bana!Ankal wapi banaa....
heheh kamanda unategua tego ujue? tutakuvua uanachama, hii ni kinyume na katiba kabisa yaani.Aah Kamanda hupati mtu hapa hahaha!