To you Smile

Aaahuyo anaakili ndo mana amevikimbia visharobororoweka kwe usowakitabu karibusana mrembo huku hakunahaoo ulio wakimbia huko huku ni kwa ukwee karibusana
Kipipi umeona mkuu tatizo mnamvuta maskio sana mpaka kakimbia
 
Sweetlad nimegundua kumbe wivu unakusumbua subiri na wewe watakutokea tu
Hahaha! Mie nishatokewa zamani sana kaka mpendwa, harusi yangu walokula washasahau zamani sana, smile akija atakuthibitishia hilo manake yeye alikuwa matroni wa watoto.
 
Hapo juu unajikomentia mwenyewe?
Ama kweli, jf is never boring by The Boss
 
Mhhh ngoja nimtafute Kloro anitafasarie hapo
Eti Smile jamaa anasemaje hapo juu
 
Tatizo Rejao maneno mengi vitendo hamna, eti yeye anamtoa out tu na hela, afu nani amwage oil na kubadili filter?
Kibabu miye najituma sana....si unajua tena mambo ya maexperience yanamata sana!
halafu mimi kama Silvio Berlusconi wa wa italy! napenda sana haya maneno kwenye wasifu wake "Mr Berlusconi has always maintained he is "no saint" but firmly denies having ever paid for sex with a woman."
 
Duuh! Haya bwana mwenye dada akosi shemejiii
Alwilwiliwlwiiii
Smile dadangu, kupendwa ndio huku, kupendwa kuheshimiweee...by Yusufu I guess( not very sure)

Ila kibabu Rejao nahisi kama kilishabook hapa, so Tingi...noa kisu chako

Huyu hana madhara kabisa...kwa hilo bombu usihofu kabisa!
Naona anakuja na mashairi meengi! wakati mtaalam mie neno moja tu namaliza kazi!!
 
mmmh makubwa mim ndo nimejiunga leo nakuta haya niliyo yakimbia fbook mbona kaz ipo

aliyekushauri kujiunga jf alikupa sifa gani? Inawezekana umeingia jukwaa lisilo kuhusu, eleza usaidiwe.
 
Shem karibu tunakula ugali wa muhogo na migebuga dadaoko atafaidi migebuka

Duuh! migebuka ndo mdudu hani tena? Anyways asante kwa ukaribisho shemeji, ila jitahidi kunoa kisu chako wanoimendea hiyo nyama wako wengi sana, na mwenye kisu kikali.....malizia
 
Huyu hana madhara kabisa...kwa hilo bombu usihofu kabisa!
Naona anakuja na mashairi meengi! wakati mtaalam mie neno moja tu namaliza kazi!!


habari yako banaa.

Halafu hizo tuhuma za Kongosho hapa inabidi zijibiwe kwa ushahidi ati

Tatizo Rejao maneno mengi vitendo hamna, eti yeye anamtoa out tu na hela, afu nani amwage oil na kubadili filter?
 
i wish ningeelewa hili shairi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…