mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,994
- 81,756
hadi nyie wajomba zake aliwavunjia heshimaWatu huja na kupotea kama umande, alichukua attention ya wanaume wengi sana humu.
hadi nyie wajomba zake aliwavunjia heshimaWatu huja na kupotea kama umande, alichukua attention ya wanaume wengi sana humu.
Alituvunjiaje heshima dogo!hadi nyie wajomba zake aliwavunjia heshima
mpaka mkamtamani maana yake aliwavunjia heshimaAlituvunjiaje heshima dogo!
Aaaah dogo 🤣🤣mpaka mkamtamani maana yake aliwavunjia heshima
shikamoo alikuwa anawapa?