To third eye;msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

To third eye;msaada

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Khalifab, Jul 9, 2012.

 1. Khalifab

  Khalifab Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hali yako...

  Brother kuna inshu nilikuomba unisaidie kama ifuatavyo.
  1.nini maana ya link
  2.Ni vip naweza kuitumia coz naona watu wana2miana link mara link ya muvie ili a download muvie au software
  3.Nilisoma maeleze yako kuhusu matumizi ya U torrent na Bit torrent,zote nimefanikiwa kudownload kwa mssada wako
  na icon zake zimefunguka vizuri,,sasa inshu inakuja wapi..

  1. Nashindwa ku2mia nafkiri kwa sababu sijui nini maana ya link,na inapatikana vipi na naiweka vip ndani ya U torrent au Bit torrent.naomba msaa wako kwa kunitumia maelekezo katika email yangu khalifab@rocketmail.com...nitafrai sana coz napenda kujua mkaka,,,,
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Unaonaje uki mPM kuliko kujaza jukwaa
   
Loading...