To the powers that be...

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,513
Reaction score
146,028
Please, wise up you people [ IGP Sirro & Co].

Stop giving that obviously demented broad the oxygen of publicity.

Why even mention her? Just do what you got to do clandestinely [if at all you're trying to do something about her ridiculous darts of insults].

Mentioning her name....really? All she is is a keyboard warrior...a thumb thug. No need to make her that relevant when you got bigger fish to fry.

Be consumate professionals for once.

So disappointing to see/hear an IGP talk about some demented social media troll.

Come on now.....
 
Ndo nchi yetu ilipofikia mkuu.kila kiongozi anataka kuonekana kwenye kamera,bila kujali nini kinamtoka mdomoni.
 
Ndo nchi yetu ilipofikia mkuu.kila kiongozi anataka kuonekana kwenye kamera,bila kujali nini kinamtoka mdomoni.
Wapuuzi kabisa!

Huyo social media troll hafai kabisa kupewa relevance.

Wamwache awaendeshe ma fans wake huko huko kwenye social media.
 
Acha wivu mwenzako kutajwa na sirro hao wanaomtaja ni wapumbavu kama huyo binti na hawajielewi
 
Unaweza ukampuuza sawa, LAKINI kuna chembe za ukweli kwa anayoyaongea? Je Clinton alikuwa na mapenzi na Monica? Kuna ukweli humo pamoja na kuwa ametoa nje siri za ndani za binafsi? Public benefit ni ipi with regard to Clinton having love affair with Monica? maswali kama hayo.....
 
Even u ur naked before her ....so don't try her ...
 
Mbona hakumtaja?wagonjwa wa akili mpo wengi sana
Huku sio kwa wenye elimu za chekechea mkuu. Nikimwelezea mtu kwa mafumbo hadi akajulikana ni sawa na kumtaja pimbi wewe. Fasihi ilikuwaga inataja watu? Mbona tuliwajua na wakawa wanasemwa wewe ni kama fulani kwenye kitabu fulani.Mjinga tu wewe.
 
Typically bavichan!
 
Chembe gani za ukweli anazoongea?

Kila aandikacho ni matusi tu.

Huyo hana uwezo wa kujenga hoja bila matusi kwa sababu hana msamiati wa kutosha kuweza kuutumia ili kujieleza na akaeleweka na hatimaye kushawishi watu. Ndo maana unaona matusi kwenye kila aandikacho.

Pia, kwa washabiki wake, si ajabu mkawa mmeshajiaminisha kuwa kila aandikacho ni cha kweli. Hivyo wala hamsumbuki na kujiuliza kama ni cha kweli au la na matokeo yake mnameza hivyo hivyo kilivyo.

Watu wenye msamiati wa kutosha na wenye kuweza kujenga na kuzitetea hoja zao huziacha hizo hoja zao zisimame kwa ubora wake wenyewe. Hakuna haja ya kuziambatanisha na matusi.

Sasa huyo mdada ni kichaa. Sijui hao washabiki wake niwaiteje!

Sad.
 
Sina uzoefu na yeye wala si shabiki wake. Ila watu wengi kwenye media tofauti wamasema pamoja na kuwa anatukana, lakini anasema ukweli. In fact wansema kama angeliacha matusi , basi angelikuwa juu zaidi katika siasa/udukuzi wa bongo
 
Sijaona huo ukweli anaousema.
Kinachowavutia wengi au baadhi ni hiyo faux courage ya kutukana akiwa mbali.
 
Nilijua lazima uliongelee hili humu.. vizuri umefungua na uzi wakusome kirahisi.. maana mie 😱
 
if you read between the line,you find no different between this guy( a guy who started this thread),IGP sirro and mange kimambi.both are racing for public attention....jinga kabisa hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…