Magari ya ubalozi wa Marekani hayo, wao hawahusiki na sheria za barabarani kama magari mengine coz huwezi kuwakamata.You may be above traffic laws, judging by how an officer directing traffic at Msasani club chose to turn a blind eye, but you are not above basic human decency to be considerate to other users of the road.
I am reaching out to you on a human level, pleading that you don't endanger my life and that of others. And also that you don't cause unnecessary traffic mayhem. We are all trying to get somewhere.
Magari ya ubalozi wa Marekani hayo, wao hawahusiki na sheria za barabarani kama magari mengine coz huwezi kuwakamata.
Pole sana mkuu.
Hey
I dont give a shit....huwa nawapelekea tu mashine wakileta za kuleta. Kwanza dereva wa ubalozi,ngo,serikali akigonga kizembe anahatarisha ajira yake hawana ujanja hao!Magari ya ubalozi wa Marekani hayo, wao hawahusiki na sheria za barabarani kama magari mengine coz huwezi kuwakamata.
Pole sana mkuu.
Hey
Sikun ingine ukiona uko kwenye sheria mkwangue uone atakavyotetemeka! DFP,CD,STL wanajiona wako juu ya sheria wakati ni madereva tu kama wengine.You may be above traffic laws, judging by how an officer directing traffic at Msasani club chose to turn a blind eye, but you are not above basic human decency to be considerate to other users of the road.
I am reaching out to you on a human level, pleading that you don't endanger my life and that of others. And also that you don't cause unnecessary traffic mayhem. We are all trying to get somewhere.
View attachment 430772
[emoji23] [emoji23]Si mlitokwa povu sana hapa baada ya yule trafic aliye msulubu mke wa Mahiga kupandishwa cheo,? Mkasema Magufuli kadhalilisha mwenzie?
Ngoja sasa mkubwa aendeleee kuwa mkubwa.
Watz tuna akili za kipeeke yetu!