DADDYNOLAN
Member
- Jun 11, 2017
- 82
- 71
Habari wana JF ,
Mimi ni mhitimu wa elimu ngazi ya degree katika chuo cha usimamizi wa fedha nina uzoefu wa miaka mitatu katika kufanya kazi za mikopo hasa mikopo midogo midogo ya vikundi, mikopo binafsi mikubwa na ya kati .Kama kuna NGO ,Bank au financial institution yeyote yenye uhitaji wa mtu mwenye sifa hizo napatikana kwa sasa nipo mkoa wa Mbeya na nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote ule Tanzania.Pia nina Proposal yangu nimeiandaa kwa ajili ya kufanya mikopo ya vikundi kwenye taasisi itakayokua tayari kufanya kazi na mimi.