To My Archduke

Usiangalie wala usirudi nyuma utageuka jiwe, focus on and stick to your dream love and don't let ANY ONE stand on your way, stamp your foot down Madame S upo kwa right track
Hahahahhaaahahahhahaha nimecheka sana mchana, na bado usiku nacheka tu hapa mtanivunja hizi mbavu, nitageuka jiwe tena? Asante jamani asante sana sana, namwambia baby usipunguze kazana tu nataka kuwehuka hahaha
 
Tokea mwaka 2013 Hadi Leo nipo tu humu na hakuna aliyewahi kuniandikia vitu kama Hivi hata mara moja.... Ndio maana huwa naona huu ni upuuzi tu!!! Ndio ni upuuzi tu [emoji6][emoji6][emoji6]
 
Binadam wabaya jani et nadate na mme wa mtu mim how?
Aliimba mwenye kuimba na maneno yake ni haya hapa chini:

Mapenzi ni ngao kaa ufikiri

Kwa wapendanao hukaa wawili

Fanya chuki nao wala hawajali

Hupeana vyeo wenyewe kwa siri

Kama huyajui uliza wenzio

Jipeleleze, usiulize,
Usitafute mbaya ujue,
Wewe mwenyewe
 
Tokea mwaka 2013 Hadi Leo nipo tu humu na hakuna aliyewahi kuniandikia vitu kama Hivi hata mara moja.... Ndio maana huwa naona huu ni upuuzi tu!!! Ndio ni upuuzi tu [emoji6][emoji6][emoji6]
Oh really?? Inaweza kua kwako ni upuuzi kwetu sisi ndio kama hivyo nishazama mie, usijali lakini wakat wako waja
 
mapenzi ni wawili wasoachana solemba, iwe kwa dhiki wingi wa mali muhimu kupendana hahaha
 
nakazia nakazia nakazia

Madame S
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…