sikatai ndo ukweli huoUnakataa tena
that's my babeYameisha honey
nimekukosaje tena jamaniUkiendelea i promise mana leo umenikosa kosa
twende kule bhana nimechoka sasa mara huku mara kule concentration inapotea najua unajua....utanikuta nakusubiriSikuelew ujue
hahahahaUnajua bwana
Demiss toka lini nina masihara na wewe na yameanza lini?
Alafu siyo MASIHALA rekebisha
Usiangalie wala usirudi nyuma utageuka jiwe, focus on and stick to your dream love and don't let ANY ONE stand on your way, stamp your foot down Madame S upo kwa right trackBinadam wabaya jani et nadate na mme wa mtu mim how?
Enjoy yourself Madame, everyone is entitled to happiness, that's natural and God given, hizi stress ni binadamu ndio tunaleteana tuHahahahahhahahahahaa na sitak apunguze hata robo nataka kuwehuka kabisa
And why not Madame!?Hahahahhaha yan leo niko na furaha
Japo nimekawia lakini nimefika Bwana Shemeji, nilisahau simu mahali ndio nimetoka kuifuataSesten Zakazaka uje umuone dada yako huku
hahahahhaha Archduke ataenda kule naenda, nilipo yupo, alipo nipo, we are like twins ngumu kututenganishaAnd why not Madame!?
Sasa zile safari zako za adventure za kuvuka kivuko cha Pangani(sijui kama kipo kipya saivi) na kwenda Kipumbwi na Sakura, safari za kwenda Duga Maforoni na Mabokweni hadi Zingibari, safari za kwenda Machame juu kul wanapoanzia kupanda mlima Kilimanjaro au Marangu kwenye geti la kupanda na kushuka pia, au ukienda Arusha National Park kama utaona Manyara ni mbali safari hizo mchukuzane na shemeji yetu Archiduke