ivi jamani makamanda mko wapi? Nafasi yakumuuliza maswali pm ndo hii..Ajabu
- Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bunge Hayupo wala msaidizi au aliyeteuliwa (maana J3 alkua Zitto) kwa kweli hawatutendei haki maana hii ni fursa adhimu
- Mpaka sasa hakuna swali kuhusu mgomo wa madaktari
- Karibu maswali yote spika anasema ni very specific
- Maswali ysiyo na mshiko yanaulizwa
- ...................kwamba bado kipindi hiki kipo......................hakina mshiko kwa watanzania
- Waziri Mkuu anasema mimi si waziri wa mambo ya ndani, mimi ni Waziri Mkuu........!!!! ameshindwa kujibu swali la machali.......najiuliza maana ya WAZIRI MKUU...najiuliza pia kwamba siku hizi hakuna VIKAO VYA BARAZA LA MAWAZIRI?
- ...ni kushangaa tu hiki kipindi....HAKINA MVUTO
ivi jamani makamanda mko wapi? Nafasi yakumuuliza maswali pm ndo hii..
Leo alitakiwa awe wa kwanza kuuliza maswali kwa waziri mkuu, na hasa suala la POSHO na MGOMO WA MADAKTARI ila SPIKA kasema Mbowe hayupo , najiuliza amekwenda wapi kama sio hujuma hiii,
Acha unafiki kwani hukumsikia spika alivyosema kuwa walioomba ni wengi na hivyo yeye ndio atakuwa anachagua na haatafuata waliowahi?wanasiasa wote ni sawa na mkungu wa ndizi mbivu, zote zinaelekea upande mmoja
leo chadema kama ccm
nilijua tu nilivyoona ile thead yako ya zito nikajua kwamba wewe ni wale wale wliokunywa uji wa mgonjwa.
Leo Mbowe alitakiwa awe wa kwanza kuuliza maswali kwa waziri mkuu, na hasa suala la POSHO na MGOMO WA MADAKTARI ila SPIKA kasema Mbowe hayupo , najiuliza amekwenda wapi kama sio hujuma hiii,
Ajabu
- Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bunge Hayupo wala msaidizi au aliyeteuliwa (maana J3 alkua Zitto) kwa kweli hawatutendei haki maana hii ni fursa adhimu
- Mpaka sasa hakuna swali kuhusu mgomo wa madaktari
- Karibu maswali yote spika anasema ni very specific
- Maswali ysiyo na mshiko yanaulizwa
- ...................kwamba bado kipindi hiki kipo......................hakina mshiko kwa watanzania
- Waziri Mkuu anasema mimi si waziri wa mambo ya ndani, mimi ni Waziri Mkuu........!!!! ameshindwa kujibu swali la machali.......najiuliza maana ya WAZIRI MKUU...najiuliza pia kwamba siku hizi hakuna VIKAO VYA BARAZA LA MAWAZIRI?
- ...ni kushangaa tu hiki kipindi....HAKINA MVUTO
Ivi uyu madam spika ananini lakini?maswali anaulizwa waziri mkuu yeye anatetea eti swali liko specific. Mama ovyo sana. Mwache ajibu si kajitosa anajua kila kitu..mama ovyo sana
nilijua tu nilivyoona ile thead yako ya zito nikajua kwamba wewe ni wale wale wliokunywa uji wa mgonjwa.