Nilipo pitia profile yako, binafsi nimejiridha wazi kwamba una haki na unafaa kuwa verified user kwasababu kuu mbili:-
1. Huu ndio uzi wako kuanzisha kuanzia ulipo jiunga rasmi jf mwaka 2016.
2. Nimesoma michango yako kwenye threads zingine na nikagundua kwamba you are too polite kwenye comments.