LazyDog JF-Expert Member Joined Apr 10, 2008 Posts 2,473 Reaction score 202 May 12, 2009 #21 Mchaga said: thanks kwa uvumilivu maana kuna watu wameomba sana hiyo attachement niiweke huku Click to expand... Thank you for sharing
Mchaga said: thanks kwa uvumilivu maana kuna watu wameomba sana hiyo attachement niiweke huku Click to expand... Thank you for sharing
Mchaga JF-Expert Member Joined Apr 11, 2008 Posts 1,377 Reaction score 209 May 12, 2009 Thread starter #22 LazyDog said: Thank you for sharing Click to expand... Asante mkuu maana ukiona sisi watu wa ulimwengu wa sasa tulivyo na ubinafsi na wezi wa mali za umma then ukawaangalia hao watoto wanakufa kwa njaa wakati kuna MAFISADI wameweka mabilioni nje ya nchi inatia hasira sana...
LazyDog said: Thank you for sharing Click to expand... Asante mkuu maana ukiona sisi watu wa ulimwengu wa sasa tulivyo na ubinafsi na wezi wa mali za umma then ukawaangalia hao watoto wanakufa kwa njaa wakati kuna MAFISADI wameweka mabilioni nje ya nchi inatia hasira sana...