UncleJoe
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 624
- 508
Musa17 unless otherwise, zech is not affiliated by myElimu initiative na sio yeye aliyeitaja ila mie nadhani alikuwa anafanya tu mlinganisho wa tovuti mbili.
Negative critic uwa anachukiwa hasa unakuwa unahisi umefanya kazi kubwa. Ila usichukulie negative critisim negatively... Ziangalie katika mtazamo chanya.
Mimi kwa mtazamo wangu kwa kuwa unaanza sio mbaya ila as it grows wewe endelea kufanya mabadiliko
Kina zech Nyasiro na wengine wameangalia context ya design ila mimi nimeangalia upande wa content ambao ni wa muhimu zaidi. Usikate tamaa na shirikiana na wengine ambao wako interested kukusaidia na usikate tamaa kwa kupata negative feedback, ni kawaida kupata mixed feedback unapoleta hoja kwenye kundi kubwa la watu

Last edited by a moderator: