Jiang Yang
Senior Member
- Jul 18, 2012
- 182
- 111
Mambo vipi wana IT?
Nimemaliza kufanya project yangu, ni website ina features mbalimbali ikiwemo forums. naomba mtazame kisha nitashukuru kusikia neno lolote la kujenga kutoka kwenu, kwa imani niliyonayo juu ya upeo, hekima, ufahamu na elimu ya wana jukwaa hili naamini nitapata maoni yatakayo toa changamoto na motisha niweze kuiboresha. Naomba utumie muda kuipitia uone features mbalimbali, ukiweza kufanya registration ( hautahitaji kufanya confirmation kwa sasa kwenye email yako) itapendeza pia. Pia kuna version mbili ( mobile & full style) kama ukitembelea kwa simu sio vibaya ukiitazama na version yake ya desktop kuna link chini( switch to full/mobile style)
address http://shuletime.com.