Story hii ni nzuri sana lakini kwa wanawake wa aina hiyo ni wawili katika mia, haswaaa katika huu ulimwengu wa kisasa. Dunia imebadilika sasa nadhani tunahitaji pia kubadilisha maono yetu katika mapenzi. Perfect Man DON'T CHEAT, DON'T SMOKE , NEVER EXIST. UNLESS U SHOULD MARRY YOUR BABA OR MAMA OR KAKA OR DADA.
Good thread but in wrong timings. Hii ingependeza enzi zile za kuchora kopa na kuandikiana barua. Sasa hivi ni noti kwanza ndo mengine yafuatie, hali ngume jameni.
Katika upande wetu wanaume kweli tunapopata hela huwa baadhi yetu tunabadilika na kuwasahau wake wetu. Ila wakuu impact ya hela katika jamii nyie acheni tuu, inakuwa inawasha anytime.