TMA ilitabiri mvua lakini tunashuhudia jua kali

Kufuatia utabiri wa TMA kwamba itanyesha mvua kubwa watu wamehama maeneo yenye kutuama maji na kwenda kujihifadhi kwa ndugu na jamaa

Kumbe hakuna lolote ni Jua kali

Mungu anawaona nyie TMA mjue!
Dar kubwa bwashee!
 
TMA ni taasisi muhimu sana ma inafanya kazi kubwa ila inapuuzwa sana kwasababu watu hawajui umuhimu wake.

Kwa mfano, Bila TMA kuwa na cheti cha ubora, hakuna ndege ya kimataifa ingetua nchi kwasababu bila huduma za hali ya hewa zenye ubora/kiwango, ndege haziwezi kuruka na kutua kwa usalama.
Sifa yetu kubwa ni kudharau taaluma za watu.
 
Ushaambiwa utabiri

Umeambiwa chukua tahadhari unabisha

Nyie ndiyo mkiambiwa ondokeni eneo fulani

Kunaweza tokea hatari mtabisha,mpaka mkumbwe na balaa ndiyo akili itawakaa sawa

Ova
Hapo Ufipa mko salama!
 
TMA ni taasisi muhimu sana ma inafanya kazi kubwa ila inapuuzwa sana kwasababu watu hawajui umuhimu wake.

Kwa mfano, Bila TMA kuwa na cheti cha ubora, hakuna ndege ya kimataifa ingetua nchi kwasababu bila huduma za hali ya hewa zenye ubora/kiwango, ndege haziwezi kuruka na kutua kwa usalama.
Utabiri wao unatia shaka..hawaaminiki..kuhusu hapo uwanja wa ndege kuna taasisi nyingi sana za aviation wanazoshirikiana nazo sio wao pekeyao.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TMA ni kama TBS hamna lolote wanakula mishahara wa bure tu. niishauri serikali TMA wawe wanatabiri mpira simba na yanga sio mvua
 
Back
Top Bottom