johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,651
- 143,011
Mbowe hawezi kuachia uwenyekiti haswa baada ya yule mpuuzi alietaka kumrithisha kwenda ugaibuni CANADANi jambo jema labda siasa za Taifa letu zitabadilika kidogo.
Ikumbukwe mwenyekiti wa TLP alikuwa hayati Mrema Nccr Mageuzi alikuwa James Mbatia na CHADEMA ni Mbowe ambaye alitangaza kutogombea tena.
Kusini kuchele.
Hee, Bado Vipo..?
vipo kwenuHee, Bado Vipo..?
mpuuz mamako na familia yenuMbowe hawezi kuachia uwenyekiti haswa baada ya yule mpuuzi alietaka kumrithisha kwenda ugaibuni CANADA
Viko kwenye orodha ya msajiliNdio vipo, tena bila mbeleko ya vyombo vya dola.
hata yule mpuuz nape mlamba asali kuoitia tozo zetu anaiogopa chadema kuliko pressure aliyonayo na kisukari chake.Viko kwenye orodha ya msajili
Lipumba amesimikwa na CCM hapo hadi CCM itoke madarakani ndiyo aachie ngaziSawa Mkuu....Ngoja tusubiri....Lipumba yeye aendelee?
Kwani Lema zaidi ya kuwa mpuuzi ana nini cha kujuvunia zaidi ya kukesha kwenye mitandao na kutukana ?siku hizi anatumi mtandaoa wa Tanzania abroad kuitukana serikalimpuuz mamako na familia yenu
Hawezi achaia ngazi hadi ndugu yake arejee kutoka CANADADJ bado yupo yupo sana.
Mbowe alisimikwa na nani?Lipumba amesimikwa na CCM hapo hadi CCM itoke madarakani ndiyo aachie ngazi
alisimikwa na mamayenu wa ccm mliyeprint form moja mkamjazia kugombea uwenyekiti kama wengine ni mapoyoyo msioweza kugombea.Mbowe alisimikwa na nani?
Hahaha ,mbowe ni mwamba kweli kweli ,amefanikiwa kuwa na wafuasi wajinga kupitiliza kama wewe ni mmoja wao ,kibaya zaidi wanajiita makamandaalisimikwa na mamayenu wa ccm mliyeprint form moja mkamjazia kugombea uwenyekiti kama wengine ni mapoyoyo msioweza kugombea.