Tizeba na Mwijage mnamuangusha Rais

Mmmmhhh bado natafakari kwakweli
 
Wewe jamaa ni kionambali, wangekujua mapema wangeku MO
 
Viongozi wawe wanapita huku na kuchukua notes.. JF ina madini mengi sana!

Kwani wanajijua Mkuu, wakishapata vyeo wanaichukia sana JF na kusahau kwamba hapa ni shule kamili, wakitumbuliwa ndiyo wanazinduka na kurudi kuinanga siri kali hapa kwa fake IDs
 
Kikombe Kimefurika Ndiyo Wamekinywea
Kimeshindikana Kukiepuka
 
Huamini kilichowakuta?
Kwangu mimi walistahiki maaana Mh Rais aliwaonya sana hawa watu, Tzeba aliwahi kumkumbusha ata kupeleka Mbolea kule Rukwa ndiyo akaanza kukimbizana kupeleka mbolea kwa gari za jeshi, Huyo Muhaya kamuimbia weeee mpaka basi sasa waendee tu.
 
Tunachukuliana kawaida Sana humu,tuko na waheshimiwa wengi huwezi amini...
 
Kwangu mimi walistahiki maaana Mh Rais aliwaonya sana hawa watu, Tzeba aliwahi kumkumbusha ata kupeleka Mbolea kule Rukwa ndiyo akaanza kukimbizana kupeleka mbolea kwa gari za jeshi, Huyo Muhaya kamuimbia weeee mpaka basi sasa waendee tu.
Nshomile alikua akiharibu anakimbilia kwa Majaliwa na Tizeba ana madudu kwenye biashara ya mbolea,yatafumuka tu
 
Nshomile alikua akiharibu anakimbilia kwa Majaliwa na Tizeba ana madudu kwenye biashara ya mbolea,yatafumuka tu
Wasichojua ni kuwa jpm ni mtu wa matokeo sio *sound". Na wanaamini kuwa hajui kitu kwa hiyo wanacheza na propaganda tu. Kibaya hawapendi kushirikiana kiwizara kila mtu kivyake. Watu wanalalamika urasimu uanzishwaji viwanda , pembejeo malighafi wao wapo tu.
 
Mizigo ya misumari
 
Humu kuna Maghost na fitina mnaijuwa.
 
Mwijage au Tizeba leo wakisoma hili bandiko wanatamani kama wangekusikiliza ushauri wako! Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…