Tizama ITV online

Duh naona kwangu sasa hivi imegoma, inataka nilog-in kwa name and password. Wakuu ina maana na hii ndio wameshailock au inakuwaje. Mwenye maujanja mengine tafadhali atoe taarifa.
 
Mi naambiwa the channel is locked. Lazima ni-login. Nimekwama. Mwenye maufundi naomba anisaidie.
 
Mi naambiwa the channel is locked. Lazima ni-login. Nimekwama. Mwenye maufundi naomba anisaidie.

washaua wenyewe akina MHAVILLE nani anasema kuna vya bure?. vipi hamia channel
ya CHAD upate hapo.
 
It was pathetic anyway...i mean i never want sound sore grapes though. lol
 
mi naitumia hata sasa naitumia, ondoa wasiwasi
 
naona sasa baada ya watu wengi kuingia imeanza kwenda down, napata EATV tu na ITV imepotea for a while, sijui kama ni badwith imepungua or what,
 
wakubwa hiyo kitu ni ya kulipia jamani. si kuangalia tu TV bure.
 
mbona wanataka uingize password kuona itv, tupe user name and password mkuu
 
jamani mi inataka username and pasword! nifanyeje?
TO get the username and password you have to part with a donation of 5 dollars,all details will then be emailed to your email-it is fraud proof cause all payments go through PAYPAL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ