guys kwa wale mlio nje ya nchi mnawezi kuangalia itv live online bure.
Nenda
www.tv4africa.com , install player alafu chagua itv.kuna channel za nchi nyingine ila zenyewe ni zakulipia.
Kua mvumilivu coz kwangu ilizingua mwanzoni ila sasa hivi iko fresh kabisa....haina chennga wala nini.