Aisee mi nimegundua hii kuwa TITI LA MAMA NI TAMU HATAKAMA NI LA MMBWA! Sijui wewe ukiangalia watoto wadogo/wachanga wa binadamu na wanyama sijui umekuwa makini kuona wanavyoijoiii...

Shairi zuri la shaaban robert linalofafanua mawazo ya mshairi kuhusu thamani ya lugha hii ni lile la kutoka katika kitabu chake, 'Pambo la Lugha'. Ubeti mmoja wa shairi hilo unasema:
Titi la mama li tamu, hata likiwa la mbwa,
Kiswahili naazimu, sifayo inayofumbwa,
Kwa wasio kufahamu, niimbe ilivyo kubwa,
Toka kwa chemchemu, furika palipozibwa,
Titi la mama li tamu, jingine halishi hamu.
Matumizi bora ya lugha kama yale ya kukilinganisha Kiswahili na "Titi la mama" na "chemchemi" inayoamrishwa ifurike yanadhihirisha ilhamu na udhati wa mshairi kutaka Kiswahili kiwe lugha ya fahari kwa watu wote wa Afrika Mashariki.
so titi hapa alimaanisha lugha ya kiswahili