BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,188
- 14,345
Wanafanya watu tuzame netnaija kwa speed ya 5gNa prison break season 7 imetoka ni moto wa kuotea mbali mtoto wa Scofield na Sarah kawa mkubwa yupo kwenye mission ya kumtorosha dingi wake kwenye gereza la Urusi..
Acheni kasababisha Taharuki
😹😹😹 thubutuu mbogamboga hamjifichiMm n ✌️
Njoo unile 😎😹😹😹 thubutuu mbogamboga hamjifichi
Uchinjwe xmas 😹😹😹Njoo unile 😎
Mbogamboga n za kila siku hapo nyumbanUchinjwe xmas 😹😹😹
Hapana Uchinjwe xmas 😹😹Mbogamboga n za kila siku hapo nyumban
Huo mda wa kukuamini wewe nishautoa aiseee ahahahNiamini mkuu 😎
Mbaga ukue wewe ahahahaMovie niliipata ikiwa na quality ya cinema Jamaa yangu alinipa Ikiwa kwenye external 😎
Ahaahha kumbe jina lingine ni mbogamboga aldaaah😹😹😹😹 Pole kwa kuchelewa kumjua, mbogamboga wote waongo waongo
AhahahahahahahNa prison break season 7 imetoka ni moto wa kuotea mbali mtoto wa Scofield na Sarah kawa mkubwa yupo kwenye mission ya kumtorosha dingi wake kwenye gereza la Urusi..
Acheni kasababisha Taharuki
Net naiga mbona ishafungiwa mkuu nenda goojaraWanafanya watu tuzame netnaija kwa speed ya 5g
NshakuaMbaga ukue wewe ahahaha
Sawa mbogambogaNshakua
Mkuu nipatie basiHy movie nmeidanilodi jana, aisee n kali kuliko ile ya kwanza