I love your idea...na mie nilikuwa na plan kama hizo za kuanzisha IT consultancy firm na bado nafatilia hayo uliyouliza....nikimaliza research yangu nitachangia pia
Mkuu kuwa na subira mambo mazuri huwa hayataki haraka,ukute kuna mdau bado anapangilia mambo ili aweke mambo hadharani sasa yawezekana kuna ishu nyingi kwa hiyo ngoja tusubiri maana hata mimi nina shauku ya kujua pia.Wakuu, sitaki kuamini kama watu wote humu jamvini hamna hata ka-idea kuhusu hili, watu wanaufahamu lakini mnajificha, tupeane support ili tuinue uchumi wa nchi yetu,karibuni basi mwenye idea tupia hapa tusaidiane,
Mkuu kuwa na subira mambo mazuri huwa hayataki haraka,ukute kuna mdau bado anapangilia mambo ili aweke mambo hadharani sasa yawezekana kuna ishu nyingi kwa hiyo ngoja tusubiri maana hata mimi nina shauku ya kujua pia.
I love your idea...na mie nilikuwa na plan kama hizo za kuanzisha IT consultancy firm na bado nafatilia hayo uliyouliza....nikimaliza research yangu nitachangia pia
idear iko vizuri, soma company act 2002, utaona kila kitu, japo umegusia suala la MOU na Articles of association na wewe umeweka kama kitu kimoja sio kweli ni vitu viwli vyenye umhimu tofauti:- MUO, itaeleza jina la kampuni, malengo, uwezo(capital), nk. wakati articles of association itaeleza jinsi kampuni itakavyodeal na indoor na outdoor mgt, yaani watu wengine ambao ni waajiriwa mgt itakuwa vipi, na mambo mengine kama winding up, ikifilisika.
Bado wazo langu nataka nilifanikishe, kile kipindi baadhi ya wadau walipangiwa ajira wizarani wakawa busy sana tukapungua tukabaki wachache,2015-2020, mkuu bado hukupata msaada tu?.
Nimependa uvumilivu na kuonesha haukati tamaa na wazo lako la kuanzisha Kampuni.
Kama unapesa ni bora ukatumia watoa huduma za usati upande wa biashara hasa biashara zinazoanza.
Ahsante sana
Mkuu hongera sana,Bado wazo langu nataka nilifanikishe, kile kipindi baadhi ya wadau walipangiwa ajira wizarani wakawa busy sana tukapungua tukabaki wachache,
This time nataka kufungua na mtu ambae yupo nje ya nchi, hii kitu ni lazima niifanye boss imekua damu gani naona wakati ndiyo huu
Nice inspiration , you motivated me . Nafurahia kuona unavopambana bila kuchoka , hongera bro.Bado wazo langu nataka nilifanikishe, kile kipindi baadhi ya wadau walipangiwa ajira wizarani wakawa busy sana tukapungua tukabaki wachache,
This time nataka kufungua na mtu ambae yupo nje ya nchi, hii kitu ni lazima niifanye boss imekua damu gani naona wakati ndiyo huu
kweli kabisa na hili litakuwa milestone kwenye maisha yakeNice inspiration , you motivated me . Nafurahia kuona unavopambana bila kuchoka , hongera bro.