From Tanzania nafurahia hii cartoon naiangaliaga na pride pamoja na mwanangu,na nafurahia mziki wake wakiimba ruka ruka,cheza cheza lakini nasikitika cartoon haipo kwa kiswahili :A S confused:Inatoa simulizi za hadithi nzuri nzuri inanikumbusha kama zile tulizokuwa tukisimuliwa na wazee wetu kabla ya muda wa kulala...Sijui kwanini watanzania tupo nyuma hatuna cartoon hata mmoja ya kiswahili jamani