nyemenowa tindamanyile Member Joined Jan 28, 2022 Posts 42 Reaction score 44 Apr 20, 2022 #1 Nimeisahau TIN yangu, hivi kuna njia ya kujulishwa na TRA au mpaka uende ofisini?
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,639 Reaction score 47,716 Apr 20, 2022 #2 Nenda ofisin
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 7,028 Reaction score 25,477 Apr 20, 2022 #3 Ingia kwenye website ya TRA.. option ya kutengeneza TIN .. jaza taarifa zitakazohitajika ( zifanane na zile za awali).. kisha submit utaiona TIN number yako.
Ingia kwenye website ya TRA.. option ya kutengeneza TIN .. jaza taarifa zitakazohitajika ( zifanane na zile za awali).. kisha submit utaiona TIN number yako.