Tukiwafunga hiyo kesho kutwa watamtimua Manji wewe subiri utaona...Baada ya kipondo cha goli twite aka goli tatu au kibajaji toka kwa wakata miwa wa mtibwa sukari hatimaye leo yanga imewatimua voingozi wake waajiriwa waliwemo louis sendeu, katibu mwesiga celestine, meneja wa timu, mhasibu na ofisa wa utawala.
MY TAKE: hivi yanga kwanini huwa hawakubali kuwa kuna kushindwa?? Mchezo wa soka una matokeo matatu. Kwanini wao huwa wanaamini kufungwa ni hujuma?? Wataendelea hivi hadi lini??
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
NIjuavyo mimi umbea ni ukweli...ila tatizo linakuja ukweli huo unatapoenda kusemwa na mtu ambae hajatumwa kuusema sehemu husika...Acha umbea
NIjuavyo mimi umbea ni ukweli...ila tatizo linakuja ukweli huo unatapoenda kusemwa na mtu ambae hajatumwa kuusema sehemu husika...
Mtani we subiri dozi yako tar.3NIjuavyo mimi umbea ni ukweli...ila tatizo linakuja ukweli huo unatapoenda kusemwa na mtu ambae hajatumwa kuusema sehemu husika...
Leo tarehe 21 bado siku ngapi? je mmepanga kumfukuza nani maana kwa mwenendo wa wachezaji na kocha kujipodoa kila kukicha na akina sendeu kumnanihii kocha na wachezaji kunanihiiana tutawapiga zaidi ya tano labda mache huo ujinga pengine dozi itapungua...Mtani we subiri dozi yako tar.3
Kocha katoboa sikio na pua unategemea nini? tatizo sendeu labda alipiga vingi ndiyo maana akaenda kulalamika kwenye vyombo vya habari utafikili ndiyo walio mwajiri...Hayo ni maelekezo ya YM. Bila shaka walipiga panga hela ya hotel kule Mbeya na kusababisha wachezaji wakalala kwa kukumbatiana, na kocha wao mzungu kuogea ndoo bafuni tofauti na matarajio yake!
Yanga kwasasa siyo timu mpinzani wa simba tena angalau Azam FC maana kwa beki ya kijinga ilivyo ya yanga kwasasa harafu ikutane na Okwi, Ngasa, Akuffo, Sunzu, Boban,Kazimoto,Mafta,Kapombe,Kaseja...........Timu ikifanya vibaya tena kitakachofuata ni kuwatimua mashabiki wote wa Yanga kwenye jukwaa letu la michezo.
Baada ya kipondo cha goli twite aka goli tatu au kibajaji toka kwa wakata miwa wa mtibwa sukari hatimaye leo yanga imewatimua voingozi wake waajiriwa waliwemo louis sendeu, katibu mwesiga celestine, meneja wa timu, mhasibu na ofisa wa utawala.
MY TAKE: hivi yanga kwanini huwa hawakubali kuwa kuna kushindwa?? Mchezo wa soka una matokeo matatu. Kwanini wao huwa wanaamini kufungwa ni hujuma?? Wataendelea hivi hadi lini??
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Acha umbea
Tukiwafunga hiyo kesho kutwa watamtimua Manji wewe subiri utaona...