Huu ni ukasukuAcheni wizi.
Bro unasoma neno kwa neno balaa hiyo mawazo ya mwandishi yako 2016 sahihisha hilo ni desemba 2015Mtu amefukuzwa December leo january kafungua kesi ,imesikilizwa na ameshashinda na anaidai NSSF Mamilioni ya fedha?
Dah kwa hii speed nakubaliana na kauli ya JK kuhusu watu kumiliki viwanda vya Uongo
Unawaza mbali sanaKwa hiyo na fao la kujitoa wamedai mahakamani safi sana, ngoja watupe maujanja
Pita nahakamani utakuta kesi zinazoendelea na zilizoamuliwaUkilalamika sana sisi hatukwelewi ukileta na ushahidi tutakwelewa wangapi wametimuliwa? Je sababu za wao kutimuliwa ni zipi at a kama za kubambikizwa
Huku kijijin mahakama ziko mbali we tuletee ushahidi hapa maana hii habar imeletwa hapaPita nahakamani utakuta kesi zinazoendelea na zilizoamuliwa
acha uzushi sema kweli wanao timuliwa ni majizi tena majambazi watu tunao ushahidi wahasibu walitumbuliwa kwa kula maliza nssf kajenga majumba na magari yote ni ufisadi wa pesa za wanachama, tufike mahli tuseme kweli mijizi ni mingi kiasi tunaweza fukuza watu wote nssfTaarifa za uhakika zilizotoka kwa vyanzo ndani ya NSSf zinasema shirika hilo tangu mwezi Desemba mwaka jana limewatimua wafanyakazi kadhaa kwa makosa mbalimbali yakiwemo ya kutungwa. Hadi sasa zoezi hilo LA kuendelea kutimuatimua hovyo wafanyakazi bila kuzingatia sheria linaendelea.
Mtakumbuka mpaka sasa wakurugenzi kadhaa wa shirika hilo wanaendelea kupokea mishahara yao bila kuifanyia kazi tangu mwezi julai waliposimishwa kupitisha uchunguzi usiokuwa na kikomo lakini wafanyakazi wa chini wanatimuliwa kama vibaka licha ya wengi wao kulitumikia shirika hilo toka enzi za akiba
Tayari wafanyakazi kadhaa wamekwisha fungua kesi mahakama na wameshinda na hivyo shirika kudaiwa mamilioni ya shilingi kama fidia ya kutimua bila kuzingatia sheria.
Tatizo letu hoja ikiletwa hapa tunaweka ushabiki badala ya uhalisia wa hoja. Hao unaosema ushahidi unao wamesimamishwa na wanaendelea kulipwa mishahara yao kamili hadi leo wanyonge hawapati nafasi hii. Sitetei ujambazi na tetea utaratibuacha uzushi sema kweli wanao timuliwa ni majizi tena majambazi watu tunao ushahidi wahasibu walitumbuliwa kwa kula maliza nssf kajenga majumba na magari yote ni ufisadi wa pesa za wanachama, tufike mahli tuseme kweli mijizi ni mingi kiasi tunaweza fukuza watu wote nssf
Hio kesi imefunguliwa mahakama gani mbona imekwenda faster sana? Hizi kesi huwa zinachukua hata miaka na miaka, basi ni jambp la kheri mnoTayari wafanyakazi kadhaa wamekwisha fungua kesi mahakama na wameshinda na hivyo shirika kudaiwa mamilioni ya shilingi kama fidia ya kutimua bila kuzingatia sheria.