Timu za Tanzania zaendeleza uteja Tusker Cup Leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Timu za Tanzania zaendeleza uteja Tusker Cup Leo

Discussion in 'Sports' started by Babuji, Dec 16, 2008.

 1. B

  Babuji Senior Member

  #1
  Dec 16, 2008
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TIMU ya soka ya Prisons ya Mbeya jioni hii imeanza vibaya michuano ya kombe la Tusker baada ya kufungwa mabao 2-0 na Tusker ya Kenya katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

  Mabao ya Tusker yalifungwa na Francis Oduor katika dakika ya 43 na la pili lilifungwa na Oscar Kadenge katika dakika ya 70.

  Mchezaji Yona Ndabila wa Prisons alitolewa kwa kadi nyekundu katika dakika ya 51 baada ya kuonyeshwa kwa mara ya pili kadi ya njano.

  Michuano hiyo itaendelea kesho kwa mchezo kati ya Yanga na timu ya Mamlaka ya Mapato Uganda (URA).

  Habari na NIFAHAMISHE Tanzania news portal .: Habari za Tanzania :.

  Tatizo la timu zetu liko wapi?
   
 2. B

  Babuji Senior Member

  #2
  Dec 16, 2008
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo la timu za Tanzania liko wapi? zote zinafungwa tu!!
   
 3. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2008
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  Mods; Hii iunganishwe na ile nyingine ya Tusker Challenge Cup updates
   
Loading...