Mungu aepushe Nina imani hawajaumia.
View attachment 145146
Bus la timu ya Young Africans lililokuwa limebeba wachezaji pamoja na viongozi wa benchi la ufundi limepata ajali eneo na Mikese Mizani baada ya Mabus yaliyokua yakitanua kuelekea mikoa ya bara kuziba njia na kusababisha kutumbukia kwenye mtaro.
View attachment 145147
Kocha wao akipitia Dirishani Pole sana kocha ndo kazi zenyewe hizo.
Ngoja niwekee na video alafu usema ni kukwama huko lilikuwa linalalia upande wa kushoto kelele za hapo subili utaona mda si mrefu.......Ah ? Ajali? Jamani ajali sio mchezo..... sema limekwama
Subhanallah..kuna alieumia?
....Ah ? Ajali? Jamani ajali sio mchezo..... sema limekwama