Timu ya UKAWA usipime!

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,277
Reaction score
38,850
Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wamekamilisha rasmi zoezi zima la kuwapata wagombea wake katika ngazi za juu za serikali huku mgawanyo mpya wa majimbo ukiwarahisishia kuhakikisha vyema mchakato wa kugawana majimbo uliowekwa kiporo, nimethibitisha.

Kesho UKAWA wanatarajiwa rasmi kuwatangaza watu wake watakaoongoza serikali katika ngazi za juu ambao ni rais, makamu wa rais, rais wa SMZ na waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Pia wanatarajiwa kutangaza rasmi idadi ya wizara walizounda na baadhi ya watu mashuhuri watakaoongoza wizara hizo.

Pia kesho kombora zito la ufisadi wa Magufuli litawekwa rasmi hadharani na kumsambaratisha mgombea huyo wa CCM katika hatua za awali.
 
Pamoja sana Ukawa!! Huyo Magufuli nibonge la gamba kwanza atwambie kwanini aliuza nyumba za serikali nakuisababishia nchi hasara, watumishi mbali mbali wakiwemo mawaziri na majaji, mpakaleo wanakaa mahoterini nakulipiwa dola zaidi ya2000 kwa mwezi kwakukosa nyumba za serikali. Huo niufisadi wahatari aliofanya huyu Magufuli, sema watanzania wengi niwasahaulifu, hawana record zawatu hatari kama hawa kina Magufuli. Huyu nimwizi tu kama wenzake ktk CCM hakuna msafi.
 
Tulianza na Mungu na Tutamaliza na Mungu.

swissme
 

Tv station gani wanarusha live?? maana ni muhimu mno lakini sijaona likisemwa hili
 
bhukawa, mbowe abaki kuwa kiongozi wa chama serikali atatuua yule
 
Sema, Ukilala ukiamka tu tayari. Mambo yoote hadharani by saa sita mchana. Good News
 
Jamani UKAWA, tunawapenda lakini hata MAGUFULI pia tunaupenda utendaji wake sana, of course atakuwa anayo makosa kama binadamu.....kwani tunajua kuwa YEYE sio malaika jamani!

Embu tafadhalini, kwa manufaa ya nchi.....hilo Kombora liwekeni kiporo....leteni CD ya Arusha kwanza, ila mshkaji anafaa kikweli tumpeni nafasi! Mwacheni aifanye tanzania inyooke kama Rwanda jamani!

Wananchi hatuhitaji tuongozwe na MALAIKA katika serikali zetu, tunahitaji MZALENDO na MCHAPAKAZI mambo ambayo tunaamini MAGUFULI anayo!
 
safi sana siku zote mtu anaemkimbiza mwizi kimya kimya anajiamini ila yule anaepiga kelele ili watu waje kumsaidia kuna mawili moja mwizi ana ubavu kuliko yeye au anataka mashaidi ikitokea kesi ikaenda mahakamani 4 great thinker Dr slaa, prof lipumba, mbatia ,na NLD 4 come with big suprise tomorrow nadhani hata third party who have been introduced to the mix a.k.a Mr invisible hatapigwa na butwaa
 
Itakuwa poa sana wakiwa ndani ya Superbrand ITV waonekane nchi nzima, ikiwezekana Live Streaming iwepo asiewepo yeyote wa kukosa tukio hilo.

BACK TANGANYIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…