G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,277
- 38,850
Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wamekamilisha rasmi zoezi zima la kuwapata wagombea wake katika ngazi za juu za serikali huku mgawanyo mpya wa majimbo ukiwarahisishia kuhakikisha vyema mchakato wa kugawana majimbo uliowekwa kiporo, nimethibitisha.
Kesho UKAWA wanatarajiwa rasmi kuwatangaza watu wake watakaoongoza serikali katika ngazi za juu ambao ni rais, makamu wa rais, rais wa SMZ na waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Pia wanatarajiwa kutangaza rasmi idadi ya wizara walizounda na baadhi ya watu mashuhuri watakaoongoza wizara hizo.
Pia kesho kombora zito la ufisadi wa Magufuli litawekwa rasmi hadharani na kumsambaratisha mgombea huyo wa CCM katika hatua za awali.