kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Apr 24, 2016 #2 Hii jkt itakuwa
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 18,117 Reaction score 28,021 Apr 24, 2016 #4 Ingekuwa poa kama nao wangevaa vi-sketi vifupi ili iwe kama vile wanawake nao wakicheza football wanavyovaa kaptula.
Ingekuwa poa kama nao wangevaa vi-sketi vifupi ili iwe kama vile wanawake nao wakicheza football wanavyovaa kaptula.
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,520 Reaction score 6,517 Apr 24, 2016 #5 Jamani hivi ule mchezo maarufu wa USA, yaani basket ball ina utufauti gani na net ball!? Kwangu mimi naona kama ipo sawa tu
Jamani hivi ule mchezo maarufu wa USA, yaani basket ball ina utufauti gani na net ball!? Kwangu mimi naona kama ipo sawa tu
Ramea JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 2,146 Reaction score 4,093 Apr 24, 2016 #6 Chapa Nalo Jr said: Jamani hivi ule mchezo maarufu wa USA, yaani basket ball ina utufauti gani na net ball!? Kwangu mimi naona kama ipo sawa tu Click to expand... Ndiyo haina utufauti
Chapa Nalo Jr said: Jamani hivi ule mchezo maarufu wa USA, yaani basket ball ina utufauti gani na net ball!? Kwangu mimi naona kama ipo sawa tu Click to expand... Ndiyo haina utufauti
C Camp Gilgal JF-Expert Member Joined Dec 13, 2014 Posts 4,453 Reaction score 4,595 Apr 24, 2016 #7 Ramea said: Ndiyo haina utufauti Click to expand... Ha ha ha!