Timu ya kampeni ya Bernard Membe hii hapa

watu watatoana roho na huu Urais, najiuliza kwanini mtu anaona urais ni rahisi? nahisi kuna sababu nyuma ya pazia.
 
Mize Rais wa Mizinga ya Nyuki Tanzania anaweza sio wa Jamhuri ya Muungano atalia bure.
2015 Agombee wa mizinga ya Nyuki atapata bila wasiwasi.
 
CCM wote ni ukoo wa panya tu! Wote wameoza,hakuna mwenye unafuu huko.watz tujiandae kwa maamuzi magumu ya kuizika ccm hapo 2015
 

Sawa mkuu. Tujuze na za akina Sitta, Pinda, Makamba, Asharose na Sumaye,
 
Rais ajaye ni Shein wengine wote mnajisumbua tu..
 
msaada jamani,nataka kujiunga na Team Makamba,ka galaxy 3 kangu kamevunjika nataka nipate Galaxy5
 
Tuongee ule ukweli mleta uzi una maslahi na kundi la lowassa hivyo siwezi kukuamini hata kidogao!
Dk.slaa ndiye raisi mtarajiwa 2015 hao wengine ni wasindikizaji tu.
 
... na kwa vile Ubalozi wa Tanzania Ottawa tayari ulishatoa Waziri wa Mambo ya Nje na Rais basi na nngwe hii pia combination ya Uwaziri MFAIC na Ofisa balozi Canada ni qualification!
Kwi kwi kwi
 
Mzee wa katiba Sitta mbona kimya, yeye anahangahika na katiba anayotengenezea mezani kwake akiamini itampitisha
 
Mkuu nakubaliana na wewe kabisa kwa timu uliyoanika juani; ila tu mkuu umemsahau mtu mmoja na muhimu sana kwa timu hii kwa umuhimu wake.
Huyu bwana ni mteule wa Mwenyekiti wa CCM kwa wadhifa wake alionao ndani ya chama na hii yote imetokana na ushawishi aliopewa mkuu wa kaya kumteua Bw. huyu toka kwa first lady na Ritz.
Mtu huyu ni Bw Sixtus Mapunda, katibu wa umoja wa vijana CCM taifa.
Huyu bwana katika maisha yake ya leo anaimani fika kwamba razima Membe awe Rais wa nchi hii.
Kateuliwa makhususi kuwakamata vijana hasa wa CCM na kwa uteuzi huo tayari ni mjumbe wa vikao vikuu vya chama ambapo anapewa jukumu pia la kuendeleza ushawishi kwa lengo la kumuweka madarakani Membe
 
Raisi ni pinda hawa wengine nishida

Pinda ni sehemu ya aibu ya urais wa nchi hii kwa miaka kumi itakayokuwa imepita kufikia mwaka 2015; hivyo hastahili hata chembe kuwania urais hata kama Mkapa anampigia debe!!!
 
Mkuu mbona wale wa jana ulikuwa unawapamba na kuwajenga lakini hawa wa leo ni kama unawatukana na kuwachafua siasa kazi kweli tutaona mengi sana mwaka huu wanaotumiwa watajulikana na hata wanaotumwa nao watajulikana.

Ni vyema kama umeliona hili mkuu, hapa ni siasa za kipuuzi....kijana huyu anatumika kama toilet paper.
 
naona pumba tu humu.

 
Mkuu mbona wale wa jana ulikuwa unawapamba na kuwajenga lakini hawa wa leo ni kama unawatukana na kuwachafua siasa kazi kweli tutaona mengi sana mwaka huu wanaotumiwa watajulikana na hata wanaotumwa nao watajulikana.

Poleni sana, karibu kila kitu kitajulikana,kuhusu matamko changanyana zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…