Timu Nimes'tuka yaingia Igunga kwa Kishindo

Fanyani maagizo watanzania watapiga kura mtashangaa mtakosa pa kuficha hizo nyuso zenu

endeleeni kushtuka
 
ngoja watu waangalie shoo,wangemuona mkude simba wapi kama siyo hapo.kura kwa lowasa tu
 
Watashtuka zaidi Comrade Lowassa atakapoingia Magogoni
 
Hapo kuna kampeni au maonesho ya sura?
 
kweli elimu ni muhimu sana......hawa vijana(wasanii??) siku zote wanalia njaa sasa wamepewa viroba na mirungi kauli mbiu yao"HAPA KAZI TU"...tutaona!
 
Dah, maskini wasanii hawa vipenzi vya watoto!
 
Ukisikia total failure ndio hii

Mtanzania wa kawaida hawezi kuwa influenced kubadili mtazamo wake kwa uongozi ujao kwa kuwaangalia hawa wasanii wanaoongoza kwa kupromote uchawi, uzinzi na chuki through their movies

Hivi mtu wa kijijini anawezaje kumsikiliza msichana anakuja kavaa nusu uchi, kaweka nywele za purple na kutoboa kila kona ya mwili?? CCM learn to be humble and in touch with the reality

Mtu halisi wa Igunga atawezaji kumchukulia serious mwanaume ametoboa masikio, amevaa kata kunndu na kuweka kalikiti kichwani?? Hivi mnawaonaje wanyamwezi?? will they really take your approach serious tena ukizingatia magazeti ya shigongo yanaongoza kwa kuwaweka hao-hao mnaowatumia uchi kila kukicha??

Haya ya kufuata ushuari wa January Makamba ni majanga makuu kwa CCM, ni bora mngekodi vijana wa vyuo vikuu wazunguke nchi nzima kuhamasisha watu wawapigie kura, it is cheaper, meaningful and better

Kajala hata siku moja hawezi kubadili mawazo ya mtanzania wa kijijini kuipigia kura
 
you! wasanii msiwe na mawazo ya kiasi hicho.! hivi hamuoni filamu zenu zilipo na bado tuh mnampigia ccm! Amkeni.. kueni na kuwaza kama grown up! hivi tatizo ni nini? pesa? elimu au nini? kumbukeni mtarudi kusotea cd zenu soon! kimbieni mje.! TOROKENI BANA.. HAMJACHELEWA
 
Yaani bora Mungu akunyime kila kitu ila si akili. Eti CCM imekuja na operation Fiesta mikoani kwa kutumia mastaa njaa. Yaani nijinyanyase kwa miaka 10 ijayo eti kwa sababu Aunt Ezekiel kaniambia kashituka niichague CCM, really? Who the hell is Aunt Ezekiel to me or Ray? Hwa mastaa hajitanbui kweli, wanatembea na mabasi huko mikoani, hivi hawaoni maisha duni ya watanzania because of CCM, au hizo barabara wanazopita hawaoni kuwa ni maandaki tu? To hell with them.
 
Hivi kweli nibadili msimamo baada ya kumwona lay ? au huyo aunt wasubiri uchaguzi upite na waone kazi zao za sanaa zitakavyoporomoka , hawa wanazunguka kujichimbia kaburi la sanaa
 
Hivi kweli nibadili msimamo baada ya kumwona lay ? au huyo aunt wasubiri uchaguzi upite na waone kazi zao za sanaa zitakavyoporomoka , hawa wanazunguka kujichimbia kaburi la sanaa

Huyo wewe. Mimi hawa ndio wamenistua kuwa UKAWA ni genge la wasanii tu. #TeamNimes'tuka
 

wewe mbona umefuga madevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…