TIMU Magufuli tukutane hapa

kijana unonekana wewe ndio ZERO KABISA!!!

nYIE NDIO MOJAWAPO WA MALOFA WA AKILI MLIBAKI, AMBAO hAMWELEWI dunia inakwenda wapi!!

yaani mkapa naye??


 
Mwanzoni mwa utawala wa Mkapa sikuwa nimemuelewa Mkapa alipoihamishia Tamisemi katika ofisi yake. Baadaye nikaelewa. Tamisemi ndiyo serikali yenyewe;ina wakuu wa mikoa na wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, ina Idara zote za serikali kama vile afya, elimu, ujenzi, ardhi, kilimo nk. Kama wizara hii isipofanya vema maana yake serikali nzima inakuwa imeshindwa.

Wizara hii chini ya Pinda na Hawa Ghasia imeharibu mno. Kumekuwa na ufisadi wa wazi, kumekuwa na udini hapa Tamisemi kiasi kwamba watu hapa wanapafanisha na msikiti na uzembe uliokithiri.

Namshauri Magufuli afanye kama Mkapa kuichukua Wizara hii ili aisimamie yeye mwenyewe.
 
Mie namwomba sana Mungu anifikishe jumapili ili nikampelekee sifa na utukufu wake ..hakika Mungu ni mwema na kamwe hatatuacha watanzania, tulilia usiku na mchana na kumuomba kwa kila namna na hatimaye kaonesha mapenzi yake kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…