Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
Hata Mkewe sidhan kama atampa kama yupo kwenye CC
Kwanini umekosa IMANI Au sababu anayajua madhaifu ya mumewe
Hata Mkewe sidhan kama atampa kama yupo kwenye CC
Kwanini umekosa IMANI Au sababu anayajua madhaifu ya mumewe
Duh! Hii sasa ni kali. Nimeweka hii post yako kwenye kumbukumbu. Nitakukumbusha kaka
Ulikumbuka kumkumbusha? Au na wewe ulitaka ukumbushwe kumkumbusha?@hot ladyDuh! Hii sasa ni kali. Nimeweka hii post yako kwenye kumbukumbu. Nitakukumbusha kaka
Mkuu nadhan baada ya Kansa kujitoa umesadiki maneno yangu
Kwa hiyo na yeye aliamua kwa moyo mmoja kumpigia KURA Mbowe?