Codeboy Breezy
Senior Member
- Nov 8, 2018
- 193
- 330
Hatar sanaAzam
Mada za kipuuzi okay shukrani 🙏Unaota mchana wewe.
Chelsea ife kwa sababu ya kuondoka wa hezaji?
Aliondoka drogba,akaondoka Hazard,akaondoka fabrigas
Na timu ikabeba UEFA.
ACHA AKILI FINYU NA KUTUJAZIA SERVER KWA KULETA MADA ZA KIPUUZI.
You are wrongNaanza kwa masikitiko ya kinachoendelea katika timu hizi nikiona dalili ya kufa kwa hizi timu kutokana na kupoteza wachezaji wengi sana pasi na kufanya usajili mpaka sasa
1. Chelsea
Timu hii tayari wachezaji kadhaa wahaondoka ikiwemo Antonio Rudiger na Andreas Christensen na huku rumors zikiendelea za kuondoka kwa wachezaji wengine nyota wa klabu huu kama Alonso, Azpilcueta na Werner, mpaka hapo sioni tena ramani ya chelsea katika soka la ushindani
2. Bayern munich
Kuondoka kwa Robert Lewandowsiki na Nicolas Sule ni pigo kubwa ndani ya klabu ya Bayern na huku kukiwa na tetesi za kuondoka pia kwa wachezaji wengine kama Serge Gnabry pasi na kuwa na mbadala wao ni wazi huenda timu hii ikapotea kwenye ramani ya soma la Ulaya
3. Juventus
Hii ndio timu ninayoweza kusema imekufa kisoka kutokana na wachezaji wake mablimbali kuondoka kama vile Giorgio Chiellini, Paulo Dybala, Dejan Kulusevsiki, Federico Bernadeshi huku mbadala wake ukiwa bado ni fumbo ziti.
I feel sorry for the Chelsea football Club fans, me as among of them[emoji26]
Wachambuzi wa mpira ss hv ni kila kona na jf kupost ni bure
Bayern ife sabb ya sule 🤣🤣🤣🤣 juve sabb ya chielini mtu anakaribia 40
Hizo timu zilikuwa na wachezaji wakubwa kushinda hao wameondoka na bado zipoHujamuona Dybala? Bernadeshi? 🤣🤣🤣
Naanza kwa masikitiko ya kinachoendelea katika timu hizi nikiona dalili ya kufa kwa hizi timu kutokana na kupoteza wachezaji wengi sana pasi na kufanya usajili mpaka sasa
1. Chelsea
Timu hii tayari wachezaji kadhaa wahaondoka ikiwemo Antonio Rudiger na Andreas Christensen na huku rumors zikiendelea za kuondoka kwa wachezaji wengine nyota wa klabu huu kama Alonso, Azpilcueta na Werner, mpaka hapo sioni tena ramani ya chelsea katika soka la ushindani
2. Bayern munich
Kuondoka kwa Robert Lewandowsiki na Nicolas Sule ni pigo kubwa ndani ya klabu ya Bayern na huku kukiwa na tetesi za kuondoka pia kwa wachezaji wengine kama Serge Gnabry pasi na kuwa na mbadala wao ni wazi huenda timu hii ikapotea kwenye ramani ya soma la Ulaya
3. Juventus
Hii ndio timu ninayoweza kusema imekufa kisoka kutokana na wachezaji wake mablimbali kuondoka kama vile Giorgio Chiellini, Paulo Dybala, Dejan Kulusevsiki, Federico Bernadeshi huku mbadala wake ukiwa bado ni fumbo ziti.
I feel sorry for the Chelsea football Club fans, me as among of them[emoji26]
Taarifa za wachezaji kuondoka ama taarifa zipi?Mkuu umetoa wapi hizi taarifa au umeanza kushangilia mpira leo
Chelsea ife kwa kuondoka kwa Rudger..? Una wazimu 🤣🤣🤣🤣 wachezaji wameisha hi dunia..?Naanza kwa masikitiko ya kinachoendelea katika timu hizi nikiona dalili ya kufa kwa hizi timu kutokana na kupoteza wachezaji wengi sana pasi na kufanya usajili mpaka sasa
1. Chelsea
Timu hii tayari wachezaji kadhaa wahaondoka ikiwemo Antonio Rudiger na Andreas Christensen na huku rumors zikiendelea za kuondoka kwa wachezaji wengine nyota wa klabu huu kama Alonso, Azpilcueta na Werner, mpaka hapo sioni tena ramani ya chelsea katika soka la ushindani
2. Bayern munich
Kuondoka kwa Robert Lewandowsiki na Nicolas Sule ni pigo kubwa ndani ya klabu ya Bayern na huku kukiwa na tetesi za kuondoka pia kwa wachezaji wengine kama Serge Gnabry pasi na kuwa na mbadala wao ni wazi huenda timu hii ikapotea kwenye ramani ya soma la Ulaya
3. Juventus
Hii ndio timu ninayoweza kusema imekufa kisoka kutokana na wachezaji wake mablimbali kuondoka kama vile Giorgio Chiellini, Paulo Dybala, Dejan Kulusevsiki, Federico Bernadeshi huku mbadala wake ukiwa bado ni fumbo ziti.
I feel sorry for the Chelsea football Club fans, me as among of them😥
Kati ya hizo zote ulizotaja kuna hata moja inaweza kuwa title contender pale England?? 🤣Ona hizi timu kongwe zilifanya makubwa sana na wakahama wachezaji nguli na tegemeo lakini mpaka leo hazijafa.
[emoji116]
Leeds Utd.
Newcastle Utd.
Bolton Wanderers.