Timiza tendo la ndoa

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2012
Posts
601
Reaction score
2,508
USICHEZE-CHEZE NA TENDO LA NDOA.

Kuna tofauti kubwa baina ya mwanamke na mwanamue wanapokuwa katika tendo la ndoa.

MWANAMKE:

1) Aibu huongezeka

2) Nguvu za mwili humuishia na mwili hulegea

3) Uwezo wa kufikiria huongezeka na kufika (to the maximum).

MWANAUME:

1) Aibu hutoweka kabisa

2) Nguvu za mwili huongezeka

3) Uwezo wa kufikiria(IQ) hushuka na kufikia zero! (hasa anapokuwa kileleni). Katika hayo kuna mambo tunajifunza:

a) Kumbe ndio maana Biblia inasema (mwanamume) aziniye na mwanamke hana akili kabisa; kwa sababu kimaumbile na kisaikolojia uwezo wa kufikiri hutoweka!

b) Kama mwanamke anakuwa na uwezo mkubwa wa kufikiria (to the maximum) na mwanamume akili na uwezo wa kufikiria vinashuka (to zero), bila shaka unaweza ukatambua kwa nini Samson “asingesalimika” kwa namna yeyote ile mbele ya Delila!

Nadhani wanaume tunapata somo letu hapa; “Mwanamke unaempa mwili wako kupitia tendo la ndoa, ikiwa ana nia mbaya ni rahisi mno kukumaliza kiulaini”. Katikati ya tendo hili (akili yako inapokuwa sifuri) unaweza kujikuta unakabidhi mshahara wote!

Unaweza kujikuta unaahidi kumnunulia gari wakati hata pikipiki imekushinda! Unaweza kuikana familia yako mchana kweupe! Na asikwambie mtu; “Ahadi unazozitoa katikati ya tendo hili zina nguvu kubwa kuanzia ulimwengu wa roho hadi katika fikra.

Ndio maana ukidakwa na ukajikuta umeropoka ahadi, ujue huo ni msala na hilo litakuganda mpaka ujute!”. Pengine la muhimu (kwa wote) ni kujitahidi kuheshimu miili yetu na inapotolewa kutumika basi iwe ni “sadaka ya amani na haki” kwa wale wa halali na wanaostahili
 
Tabutupu
 
Tendo la ndoa ndipo dhambi ilipoanzia,ndipo palipowekwa gonjwa lisilotibika,ndipo kilipo chanzo cha uhai/uzao mpya na chanzo cha mauti pia,ndipo chanzo cha maanguko mengi duniani. Kwa kifupi kiroho..hapo ndipo ilipo uhai na mauti
 
Tendo la ndoa ndipo dhambi ilipoanzia,ndipo palipowekwa gonjwa lisilotibika,ndipo kilipo chanzo cha uhai/uzao mpya na chanzo cha mauti pia,ndipo chanzo cha maanguko mengi duniani. Kwa kifupi kiroho..hapo ndipo ilipo uhai na mauti
Sawa tumekuelewa,ila in vyema ukiweka na reference ili tupate kujua zaidi. Kwa mfano hapo kweny kuongezeka kwa uwezo wa kufikiri kwa mwanamke ni utafiti wa kisayansi au vp
 
Wanaume w d ndo huwa akil inafika z ero
 
Du kuna ukweli ndio maana wengne humuita hata Malaya baby wanapokua akili Zero pale katii.
 
Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…