Time line.....

Hahahaaaaaaaa wanalinga kwasababu huo mda wanaopoteza wapo wanaoumia kwa ajili yao...Lol!
 
Da!man yuko punctual sana,,,,dk 10 kila kitu hadi shughuli ya toilet!
 
Yaani ni umasikini tu, lakini ningekuwa na hela ningenunua gari la pili ili my wife awe na la kwake maana amekuwa akinichelewesha sana kuwahi kazini kwa kumsubiri ajikwatue mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…