Timbwili la maruhani!.

Wewe ni mtunzi mzuri wa hadithi. Ukiwa serious na kipaji hiki ukatunga vitabu utauza sana!!!
 
Vitabu au sio!, we mpaka hapo umeshasoma vitabu vingapi..?
Vingi mno!!! Nimeanza kusoma vitabu mwaka 1973. Nimesoma vitabu vya Aristablus Musiba, Shigongo, James Hadley Chase, Robert Ludlum, Danielle Steel, Marrio Puzo, John Grisham, Dean Koontz, Jeffrey Archer, Harold Robbin, Morris West na wengine wengi.
 
watanzania wengi si wasomaji wavitabu!, zama hizo zilikuwa kitambo
Sio wasomaji wa vitabu vizito ila vya stories.. Kamuulize Shigongo au Irene nwamfupe mkuu..

Kuna jamaa anaitwa Abyas mzigua naona anakimbiza

Japo kama wewe sio mambo yako. Jifunze kutengeneza movie scripts, japo hazilipi ila ukiliotea soko. Itakupa pesa ndogondogo
 
Duh!
 
Vingi mno!!! Nimeanza kusoma vitabu mwaka 1973. Nimesoma vitabu vya Aristablus Musiba, Shigongo, James Hadley Chase, Robert Ludlum, Danielle Steel, Marrio Puzo, John Grisham, Dean Koontz, Jeffrey Archer, Harold Robbin, Morris West na wengine wengi.
kwenye kumi upo wewe mmoja!
 
Idiot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…