Mara nyingi nyie munaohitaji hizi till mnakuwa wababaishaji, mkitajiwa bei mnaleta utani na dharau ilihali mkijua fika upatikanaji wake Ni washida, wengine mnatoa masharti kama waganga WA kienyeji, na PIA mpo baadhi yenu mnafikia hadi kumsumbua mtu mnapatana bei mtu akikuletea hampokei simu, yaani mmekaa kiubabaishaji, ILA kama upo serious hope utapata, mimi za kwangu siku hizi ninawetaja maalum ikitoka Tu inakuwa imeshachukuliwa, take care.....