tilalila

tobycow

Senior Member
Apr 12, 2011
129
13
ni pombe gan ya kienyeji ambayo unaikubali kwa kilev chake ambayo ungependa bajet yake ipitishwe ili iboreshwe kuacha hzi
banana-ni nzuri inalewesha ila kuifungua ni nusu saa.ukifupisha iwe dakika 5 utakunywa vyupa
dadii-harufu ya ukwel na inakufanya umuone mama mkwe nyumba ndogo
mnazi-ni mtamu ila kunywa kistaarabu
 
kuna pombe inaitwa pingu,hiyo kabla ya kuanza kuinywa lazima ufunge pingu au kamba miguuni,maana bitu huwa vinatoka bila brekii
 
Pombe ya mpunga kulewa siku tatu tangu umekunywa.Nafikiri inaweza kupunguza matumizi yako
 
Omosuka! Hii haina garama ukiinywa glasi moja tu unamaliza siku tatu hujalewa! Kuanzia siku ya nne mpaka ya kumi mambo yatakuwa si mambo! Unaona panzi kama aeroplane!
 
chang'aa a.k.a gongo,machozi ya simba, white laga, arki, distild illigal spirit..
Pegi mbili tu ushamaliza kaz coz ni 81 alc%. Jero tu..
 
Omosuka! Hii haina garama ukiinywa glasi moja tu unamaliza siku tatu hujalewa! Kuanzia siku ya nne mpaka ya kumi mambo yatakuwa si mambo! Unaona panzi kama aeroplane!
Brrahahahahaaaaaah,eeeeeeeeewwwww!DWL,haya ndo matatizo ya kuchungulia JF wakati upo kazini,unaweza shindwa kufanya kazi.
 
Chamu mkuu! Haiharibiwi na bacteria ile!
Afu mkipitisha mswada,waambie wawe wanatuwekea kwenye vipakti vya buku au jero kama nyagi.
Hata class unazama nacho,tcha akikuboa unazama chini ya dawati unanyonya.
 
ki2 kischana ukipiga funda la kwanza uko uganda la pili uko kenya la 3 uko uarabuni unakula kitimoto na wajukuu wa sadam
 
hahahaaa asee watu wako deep kwenye mambo ya kupombeka... waulize kuhusu ni maneno gani kwenye vitabu vya dini yana wapa amani..! hupati reply hata moja hahahahaaaaahahah aasee kweli kaazi ipo huhuuuuu
 
kuna pombe inaitwa pingu,hiyo kabla ya kuanza kuinywa lazima ufunge pingu au kamba miguuni,maana bitu huwa vinatoka bila brekii

Mkuu inapatikana wapi hiyo nikaijaribu ili niamini?
 
Back
Top Bottom