D dj1000 Member Feb 28, 2014 15 4 May 26, 2014 #1 Habari zenu!! Mwenye kuuza til ya uwakal wa tigo ambayo haitumii kama unaiuza naitaji na ni kwa shiling ngapi utaniuzia?,,,
Habari zenu!! Mwenye kuuza til ya uwakal wa tigo ambayo haitumii kama unaiuza naitaji na ni kwa shiling ngapi utaniuzia?,,,
chakii JF-Expert Member Sep 15, 2013 19,696 22,729 May 26, 2014 #2 Nenda Jukwaa La Matangazo Utapata Majibu Mkuu!!