Tiketi za ki-elektroniki za Ligi Kuu

Tiketi za ki-elektroniki za Ligi Kuu

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
11,453
Reaction score
10,059
habarini wana JF, naombeni mnifahamishe jinsi ya kununua tiketi za ki-elektroniki kupitia M-pesa, ahsanteni.:llama:
 
mbona mmelala wadau..naombeni msaada wenu..
 
habarini wana JF, naombeni mnifahamishe jinsi ya kununua tiketi za ki-elektroniki kupitia M-pesa, ahsanteni.:llama:

Nenda kwa mwenye maxmalipo au kwa upande wa vodacom anza mchakato na hii
*150*03*03#
 
wadau tafadhali nisaidieni ni kwa vp naweza pata tiketi hizi za electronic.Ahsante
 
Back
Top Bottom