Kha!!Websaiti yao iko hapohapo uwanja wa ndege wa Arusha. Ukifika ulizia
Hahaha..kapate chai mkuuWebsaiti yao iko hapohapo uwanja wa ndege wa Arusha. Ukifika ulizia
Websaiti yao iko hapohapo uwanja wa ndege wa Arusha. Ukifika ulizia
Hatimaye leo umeililalamikia shirika la serikali... Yale ya HOYEEE umetupa kule... MDOGO MDOGO TUTAFIKA... Hongera sana kwa kuacha kusifia visivyostahiliHome | Air Tanzania Company Limited
Wanatia aibu.. wajiboreshe asap. Mfano hata patarehe ni janga.. kama tupo enzi za mwanzo.. pa kubukia ni pamelipuliwa hawajui kazi waliopewa... aibu tunamiliki ndege za kashi.. huku mtu kubuku ni kujiletea sitiresi.. si patakimbiwa
Kuna mtu ame hack account yako au ni ww uliye andika haya....Home | Air Tanzania Company Limited
Wanatia aibu.. wajiboreshe asap. Mfano hata patarehe ni janga.. kama tupo enzi za mwanzo.. pa kubukia ni pamelipuliwa hawajui kazi waliopewa... aibu tunamiliki ndege za kashi.. huku mtu kubuku ni kujiletea sitiresi.. si patakimbiwa
Home | Air Tanzania Company Limited
Wanatia aibu.. wajiboreshe asap. Mfano hata patarehe ni janga.. kama tupo enzi za mwanzo.. pa kubukia ni pamelipuliwa hawajui kazi waliopewa... aibu tunamiliki ndege za kashi.. huku mtu kubuku ni kujiletea sitiresi.. si patakimbiwa
wamehack account yake.... sio yeye huyu!Hatimaye leo umeililalamikia shirika la serikali... Yale ya HOYEEE umetupa kule... MDOGO MDOGO TUTAFIKA... Hongera sana kwa kuacha kusifia visivyostahili
HahahahahaHatimaye leo umeililalamikia shirika la serikali... Yale ya HOYEEE umetupa kule... MDOGO MDOGO TUTAFIKA... Hongera sana kwa kuacha kusifia visivyostahili
Hatimaye leo umeililalamikia shirika la serikali... Yale ya HOYEEE umetupa kule... MDOGO MDOGO TUTAFIKA... Hongera sana kwa kuacha kusifia visivyostahili
Kuna mtu ame hack account yako au ni ww uliye andika haya....
Naona akili zinaanza kukukaa sawa taratiiiiiibu. Safi kabisa.
Kulibeba jiwe lazma uchoke ni mzigo usiobebeka.
Na hii rangi ninayotumia kuwaandikia inawafaa kabisa.
Sasa mmepata mwanya wa kuninukuuu.. jioneni mlivyodakia.. huku hata hiyo website hamjawahi kuitumia kutaka kubuku.. eeeeeh
Yaani mngekuwa mmeshaitumia mumngeweka hayo ya siasa kwenye vitambi vyenu..
Ushauri mzuri sana.Hapa sasa ndio kituko cha karne.. hapo wanategemea mtu awe huko mfano ulaya azipite hizo airlines nyingine.. aende abonyeze kitufe cha CHECK RATES
Hapo ukibonyeza kwanza inachukua muda mrefuuuuu.. baaaada ndio eti website ya air tanzania inafunguka.
Madudu mengi kama haya yapo na yanalipotezea taifa mipesa.. ni watu kukosa ujuzi na kujiongeza... na wengi kutokujua hata viongozi wengine..
Air Tanzania lazima wajipange.. urahisi uwepo kwa watu kutumia na kupata kuwabuku
View attachment 811434
View attachment 811433
View attachment 811435