Mkuu unawachukia wayahudi ?!!!🤣🤣
Wayahudi ni kizazi kama walivyo wengine....ama unafungamanisha dola la kiyahudi na raia wa kawaida walioko huku mitaani Petah Tikva ,kule Haifa ,Ashdod na kwingineko ?!!!
Mkuu propaganda zisitufanye tukachukiana kama wanadamu Kaka 🤣🤣
Yetzer ha-tov
Shabbat Shalom🙏