Tigopesa sio salama?

Tigopesa sio salama?

katawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2010
Posts
1,336
Reaction score
2,826
Akaunti ya mdogo wangu ilizuiwa kwa muda na zimeibwa pesa zote zilizokuwa kwenye akaunti shilingi laki nne na elfu hamsini.
Anayejua taratibu za kupata pesa hizo anijuze tafadhali.
 
Tigo wako vizuri kaka, nenda ofisi zao tu watarekebisha mara moja. Ingekua ni ile kampuni nyingine yenye misifa na kujiita ilikua inaongoza kwa wateja ningekuambia samehe. tiGO iko njema kabisa
 
Kuna makes a mtakuwammefanya either move wako Alitaja password Tigo ipo nje
 
nenda ofisini kwao lazima zirudi ukidai...
tigo ni wezi sana hila wala sio siri mpaka mawakala wa tigopesa hawawaamini...
ukikaa kimya ndio zimeenda hivyo
 
mi nimenunua Umeme was 10000 toka Jmosi hakuna majibu mpaka leo nikajaribu mpesa Siku hiyo hiyo nikaipata
 
Back
Top Bottom