ashbuton grove
Member
- Aug 27, 2013
- 68
- 4
Nauza lain hizo nilizinunua muda huu sizihitaji tena ndo maana naziuza nipo dar na zote za dar,anayezihitaji anitafute kwa namba 0689626886
nipigie 0712769766uwakala bado upo wa tigo pesa na mpesa(till na second sim)kwa zote mbili bei kianzio ni milion
Naombeni mnisaidie kwa hili jamani, hivi ukiwa wakala unapataje faida? Nipeni somo sifahamu na ningependa kujaribu hiyo biashara
Kila line ni milioni 1?