Tigopesa na maboresho ya kila siku

Tigopesa na maboresho ya kila siku

Jaylee

Member
Joined
Apr 15, 2009
Posts
66
Reaction score
96
Ni nini kinawafanya Tigo kuzima mfumo wao wa TigoPesa kila uchao wakidai kufanya maboresho. Nini kinasababisha maboresho yasiyoisha takriban kila wiki sasa ambayo washindani wao hawalazimiki kuyafanya? Kwa nini wao tu? Hii nayo ni keto inayohitaji maelezo.
 
Updates ni muhimu hasa kwenye application sensitive kama tigoapp,
Kikukweli jamaa wanazingua ila app yao is one of the best,
Kwa mfano unapotuma pesa huitaji ku identfy mtandao inapokwenda pesa , we unaweka namba tu then system yao inajua ni mtandao gani na ni nani anatumiwa ,
 
Tigo na Ttcl ni suala la muda tuu watajifia.

Screenshot_2023-03-22-19-02-23-145-edit_com.google.android.apps.messaging.jpg
 
Ni nini kinawafanya Tigo kuzima mfumo wao wa TigoPesa kila uchao wakidai kufanya maboresho. Nini kinasababisha maboresho yasiyoisha takriban kila wiki sasa ambayo washindani wao hawalazimiki kuyafanya? Kwa nini wao tu? Hii nayo ni keto inayohitaji maelezo.
Mlaaniwe tigo, mfe kabisa wahuni nyie
 
Pole kwa usumbufu. Tigo pesa wana integrate systems ya mastercard. Baada ya haya maboresho utaweza kutengezeza kadi yako ya kufanya malipo mtandaoni kupitia Tigopesa app au kupitia USSD (kama card za airtel money) .Pia inakuja na kadi ya kutumika mara moja. Kuna baadhi ya website au app wanataka uweke details za card kabla ya kuendelea na usajili. Baada ya haya maboresho utaeza kulipia Netflix, AWS, Azure etc kwa tigo pesa hautakua na haja ya kwenda kuchukua kadi za EXIM au ECOBANK kufanya malipo mtandaoni.

Wewe wavumilie
 
Back
Top Bottom