Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,709
- 23,144
Atakuwa mfanyakazi wa airtelMkuu kweli wewe ni mwanafunzi? hiyo ni special kwa wanafunzi mkuu.
Huduma ya wanafunzi inapatikana kweny line yao za chuo tu.Mkuu kweli wewe ni mwanafunzi? hiyo ni special kwa wanafunzi mkuu.
Tigo wanaboa sana. Sitaki hata kuwasikiaI did the same several times. Hadi nilipochukua hatua za ziada. Aaaghhhh Tigo My....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu. Hawa jamaa hawafai. Ni wiziSometime unaweza usiwashe data wala nini ukakuta salio amna sasa sijui hawajamaa vipo
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Mkuu acha kuniangusha, kweli jero inakufanya unapanic kiasi hiki?Huduma ya wanafunzi inapatikana kweny line yao za chuo tu.
Ikiwekwa kwenye *148*00# hiyo ni ofa bro. Watanzania kwa kujivunga wanaongoza.
Ndiyo maana nchi zingine wakijua ww ni mtanzania tu. Hawataki maelezo
Mkuu. Hawa jamaa hawafai. Ni wezi kbsa. Kubaki 500 tu wameikodolea machoSometime unaweza usiwashe data wala nini ukakuta salio amna sasa sijui hawajamaa vipo
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Ha ha ha haMkuu acha kuniangusha, kweli jero inakufanya unapanic kiasi hiki?
Poa mkuuHa ha ha ha
Mkuu hata km una hela kiasi gani km hauna matumizi sahihi mwisho wa siku lazima ubake masikini.
Hiyo hela ni ndogo. Maisha lazima yawe na matumizi sahihi. ili ufurahi maisha.
Unaenda kula hotelin, inabaki chenj, unaiacha kwasbb unahela zingine. Utakuwa unazi
hiyo hela unayosema ndogo nikikuambie uifidie ww. Lazima ule kona
Si kweli nao wanaiba hivi hivi imenitokea mara mbiliHamia halotel mkuu.
Ukiweka buku ukajiunga 500, jero yako iliyobaki utaikuta tu hakuna namna.
Hao wengine ni wasanii na wezi tu.
Si kweli nao wanaiba hivi hivi imenitokea mara mbiliHamia halotel mkuu.
Ukiweka buku ukajiunga 500, jero yako iliyobaki utaikuta tu hakuna namna.
Hao wengine ni wasanii na wezi tu.